Wednesday, July 16, 2014

Haya ndio matokeo ya kidato cha sita 2014


Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. 

Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54


Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.


Bofya hapa kuyapata matokeo yote.